Tuma picha za matukio kwa whatsup +255744268417 Kwa habari tuma kwenye e-mali maishablognews@gmail.com

Tuesday, March 11, 2014

Ajali iliyotokea asubuhi ya leo March 11.


1510512_289970537825681_1111168878_nMatukio ya ajali za barabarani bado yanazidi kuripotiwa na hii imetokea asubuhi ya leo ikihusisha basi la Hood lililokuwa likitokea Arusha kwenda Mbeya kupata ajali na kupinduka eneo la Same,mpaka sasa taarifa rasmi haijatoka ya jumla ya majeruhi na watu waliopoteza maisha.
Taarifa zaidi itafuata ikiwemo kujua chanzo cha ajali hiyo,endelea kuwa karibu na familia ya millardayo.comkupitia Facebook.com,Instagram.com na Twitter.com/millardayo.
1013844_289970731158995_649919829_n                                     Miongoni mwa abiria wanaosadikika kupoteza maisha

No comments:

Post a Comment