Tuma picha za matukio kwa whatsup +255744268417 Kwa habari tuma kwenye e-mali maishablognews@gmail.com

Sunday, March 2, 2014

LIVE SCORE: SIMBA SC 3 - 2 RUVU SHOOTING MATOKEO ZAIDI YA SIMBA NA RUVU FC



Uwanja wa Sokoine Mbeya, wageni Mgambo bado wako mbele 1-0 dhidi ya Prisons mpira unaendelea. Uwanja wa Taifa zinachezwa dk 2 za nyongeza

FT: Simba 3 Ruvu Shooting 2

90’ Simba 3 Ruvu 2

Ruvu Shooting wanajipatia goli la pili kwa mkwaju wa penati katika dk ya 83 baada ya Joseph Owino kuushika mpira uliokuwa ukielekea lagoni sasa ni 3-2 dk ya 85

80’ Simba 3 Ruvu 1

Simba wanafunga la 3 kupitia kwa Chanongo 3-1 dakika 77.

Goooooooooooaaaaaaal Ruvu wanapata bao la kwanza 2-1

70’ Simba 2 Ruvu 0

Uwanja wa Kaitaba ni mapumziko, Kagera Sugar wakom mbele 1-0 goli limefungwa na Erick Kyaruzi dk ya 43. Nako kwenye uwanja wa Azam Complex, Ashanti Utd wanaongoza 1-0 dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora


DK 52 Simba 2 - 0 Ruvu

DK  49 Simba bado wako mbele 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting

Kipindi cha pili kinaanza

Mpira ni mapumziko Simba wapi mbele kwa mabao mawili yaliyofungwa na Tambwe

 DK 44 - Simba 2 - 0 Ruvu Shooting

CHANZO SHAFI DAUDA

No comments:

Post a Comment