
Mke wa makamu wa Rais mama Aisha Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika shughuli za Siku ya Wananwake Duniani itakayofanyika March 8 Katika Ukumbi wa Diamond VIP Hall. Pamoja nae ataongozana na kikundi cha wake wa viongozi cha Millenium Women Group, Mada kuu ya mwaka huu ni kukomesha ukatili dhidi ya wanawake.

No comments:
Post a Comment