Tuma picha za matukio kwa whatsup +255744268417 Kwa habari tuma kwenye e-mali maishablognews@gmail.com

Sunday, March 23, 2014

Simba v/s Coastal Union,Azam v/s Jkt Oljoro matokeo yake yapo hapa.


vv
Mechi kati ya Simba na Azam imekamilika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam ambayo imekamilika kwa ushindi wa Coastal Union walioshinda 1-0 dhidi ya timu ya Simba.
Simba imepoteza mchezo huu ambao inawezekana ikawa imepoteza mbio za kuwania ubingwa ambapo inawezekana kushika hata nafasi ya pili ikawa ni ngumu.
Upande wa Azam Fc na JKT Oljoro mechi nayo imekamilika kutoka uwanja wa Azam Complex kwa ushindi wa Azam wa goli 1-0 dhidi ya JKT Oljoro mfungaji wa Azam ni John Bocco Adebayor,Azam FC kwa sasa imefikisha pointi 47.
Simba wanabaki na pointi 36 baada ya kupoteza mchezo wa leo na wa Coastal Union

chanzo milladayo.com

No comments:

Post a Comment