
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Igula iliyopo kata ya Kihologota tarafa ya Isimani Mkoani Iringa wakiwa mapumziko ya mafupi baada ya vipindi vichache vya asubuhi hii huku kubadilishana mawazo wao kwa wao. Walikuwa wakisubiri muda wa kupata uji shuleni hapo.

Mkurugenzi wa Usanifu wa Maishaplus Tanzania Fancis Bonda akiwapa hamasa ya kusoma kwa bidii wanafunzi hao. Akawasisitizia kuwa, "Wao ndiyo Taifa la Leo, watakaoutokomeza umasikini kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa ujumla kwa kusoma kwa bidii pasipo kukata tamaa." (Picha zote na Martha Magessa)
No comments:
Post a Comment